Sheria inasemaje:Polisi wakifika kwa raia km wahalifu walio tayari kuhatarisha maisha ya raia?Ruksa

Sheria inasemaje:Polisi wakifika kwa raia km wahalifu walio tayari kuhatarisha maisha ya raia?Ruksa

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
25,260
Reaction score
7,204
Wanabodi naomba maoni yenu.
Sheria inasemaje😛olisi wakifika kwa raia km wahalifu walio tayari kuhatarisha maisha ya raia?Je raia anawezakujilinda hata ikibidi kuua hao polisi?
 
Sheria haisemi hivyo ila according to serikali kupitia waziri mkuu wa Tanzania inasema piga raia kwahiyo raia kujilinda piga polisi. Hiyo ndiyo Serikali ya Tanzania
 
Sheria haisemi hivyo ila according to serikali kupitia waziri mkuu wa Tanzania inasema piga raia kwahiyo raia kujilinda piga polisi. Hiyo ndiyo Serikali ya Tanzania

Kama raia anaweza muua Jambazi ktk harakati za kuokoa uhai na mali...kwanini isiwe hivyo kwa askari muuaji anayekuja kuua mtu na kumwita jambazi sugu?
 
Na hii mods mmeitamani?Mnapotezea watu muda sana.
 
Wanabodi naomba maoni yenu.
Sheria inasemaje😛olisi wakifika kwa raia km wahalifu walio tayari kuhatarisha maisha ya raia?Je raia anawezakujilinda hata ikibidi kuua hao polisi?

kasome sheria ya "self defense" kifungu cha 18
 
na isitosho ndo babab mkuu asharuhusu itakuwa ni kupiga tu
 
kasome sheria ya "self defense" kifungu cha 18

Inasemaje mkuu?Nataka jua mkuu.....siku hizi watanzania wanajikuta mazingira kama hayo ,na inabidi wakubalia kuuwawa kwani wakirect kujilinda reaction ya polisi si nzuri sana.

wengi hupona km wanakijiji kwa umoja wao wanareact.
 
Utakua ni uwenda wazimu na ujinga kwa kupambana na mtu mwenye bunduki!
Labda kama huna majukumu huko kwenu!
 
Utakua ni uwenda wazimu na ujinga kwa kupambana na mtu mwenye bunduki!
Labda kama huna majukumu huko kwenu!

hujaweza vyema ulichopost....kuwa na bunduki hakumaanishi huwezi mshinda...ila sababu ya kuhalalisha hio ndio tunataka iwe wazi na ipewe uzito kisheria.
 
Back
Top Bottom