Wanajamvi,
Jamani kuna jamaa yangu amejenga karibu na mapitio ya maji na mwingine amejenga karibu na chanzo cha maji. Issue yangu ni je, hawa watu wote wawili wamevunja sheria moja? au kuna sheria ya mapitio ya maji na sheria ya vyanzo vya maji? na je zinasemaje hizo sheria?
Msaaaaada tafadhali kabla hatujavunjiwa.