hellow guys ukifanya kazi zaidi ya miaka 9 kwenye kampuni bila mkataba ila tu malipo ya NSSF kupelekewa kama kawaida na mshahara usio na salary slip ukija kuachishwa bila sababu una haki zipi kisheria
Dah ngumu hiyo ulifanyaje kazi bila mkataba ulilipwa kama mfanyakazi muajiriwa au kibarua tu na kama hukuwa na mkataba malipo ya NSSF yalipelekwa vp ulikuwa na payslip au salary slip
Dah ngumu hiyo ulifanyaje kazi bila mkataba ulilipwa kama mfanyakazi muajiriwa au kibarua tu na kama hukuwa na mkataba malipo ya NSSF yalipelekwa vp ulikuwa na payslip au salary slip
alikuwa analipwa mshahara kwa miaka yote 9 na NSSF inapelekwa kama kawaida kulingana na kiwango chake cha mshahara ila tu pesa inatolewa locally yaani unapewa tu pesa bila Pay slip wala salary slip.....kampuni inaendeshwa kienyeji hawapewi mikataba afanyaje mkuu??