Sheria inasemaje wadau:Hapa amebaka au anaonewa

Cosovo

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2018
Posts
667
Reaction score
1,810
Jamaa amekamatwa na polisi akiwa faragha na mwanamke umri miaka 16

Nasema ni mwanamke kwa sababu akiwa na umri wa miaka 15 alipigwa ujauzito na mwanafunzi mwenzake wakasovu huko yakaisha na kujifungua

Jamaa miaka 40+ ameingia kwenye mahusiano na mwanamke huyo ila wakiwa faragha amewekwa lock up kuwa anatembea na mtoto

Hivi binti akijifungua chini ya miaka 18 mwanaume haruhusiwi kuwa naye kimahusiano? Kwamba bado ni mtoto au kisheria limekaaje
 
Wenzie wanatafuta pesa yeye anatafuta nyapu. Ngoja akaolewe
 
Amebaka.Miaka 16 ni mtoto.Mtoto kuzaa akiwa na umri wa miaka 15 ni kubakwa pia na haimfanyi kuwa mtu mzima.

Kwa Tanzania sheria ya kubaka ipo serious sana na ninafikiri ndiyo sheria iliyo serious kuliko sheria nyingine,jamaa asipokuwa makini anapigwa 30 fasta sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…