Sheria inasemaje wadau ikitokea Rais Samia akahama chama akaenda Upinzani? Je, atahama na urais wake au urais unaisha?

Sheria inasemaje wadau ikitokea Rais Samia akahama chama akaenda Upinzani? Je, atahama na urais wake au urais unaisha?

Kwanza hajui hata anafanya nini
Sasa utamlinganisha na jpm ambaye aliharibu uchumi wa nchi hii. Huoni samia anavyofufua sector binafsi iliyouawa na jpm.

Kipindi cha jpm sector binafsi ilikuwa inapumulia mashine wafanyakazi wanafukuzwa ovyoovyo ili kupungiza gharama. Sasa hivi wale waliofukuzwa kwa mahotrli na mabank kugungwa wamerudi kazini.

Kwa nini samia asionekane ni lulu. Maskini tu wa fikra na wazembe wa utafutaji ndo wanamchukia samia
 
Nyuzi zingine sijui watu wanavutaga bange kwanza kabla ya kuleta... Ila good try, umejaribu na wewe kuuliza angalau 😂

Yaani kama vile mtoto wa darasa la tatu, ambaye yupo kwenye stage ya shauku ya kujua na kujifunza mambo
 
Rais anachaguliwa kuwa Rais baada ya kuteuliwa kuwa mgombea na chama chake na kupigiwa kura na wananchi. Sasa ikitokea ameamua kwa hiari yake kuhama chama (JAMBO AMBALO HALITAKUJA KUTOKEA)
Basi atakuwa amepoteza sifa za kuwa Rais sababu hicho chama anachoenda cha upinzani hakina sifa ya kushika dola sababu hakikupigiwa kura na wananchi wakati wa uchaguzi. Nasisitiza JAMBO HILO HALITAKUJA KUTOKEA KAMWE (Hapa natoa macho kama Prof Kabugi wabjalalani)
 
Attachments

  • Screenshot_20240730-000533_1.jpg
    Screenshot_20240730-000533_1.jpg
    171.4 KB · Views: 1
Sasa utamlinganisha na jpm ambaye aliharibu uchumi wa nchi hii. Huoni samia anavyofufua sector binafsi iliyouawa na jpm.

Kipindi cha jpm sector binafsi ilikuwa inapumulia mashine wafanyakazi wanafukuzwa ovyoovyo ili kupungiza gharama. Sasa hivi wale waliofukuzwa kwa mahotrli na mabank kugungwa wamerudi kazini.

Kwa nini samia asionekane ni lulu. Maskini tu wa fikra na wazembe wa utafutaji ndo wanamchukia samia
Nyie wezi ndiyo mnafurahia huu ufisadi
 
Back
Top Bottom