Eti sheria inasemaje kuhusu uwezekano wa kumtoa mbunge wako/ wenu kabla ya miaka mitano kutimia kwa sababu za kiutendaji?
manake mimi naona ni bora kama inawezekana mbunge akitubore tunamreplace mara moja.
Tuna kazi kubwa sana mbele yetu, hatuwezi kuvumilia miaka 5 ya kutokuwajibika,
naomba pia kama kuna sheria ya kumtoa diwani.