Sheria inataka mapato ya Serikali yapelekwe katika Mfuko Mkuu wa Serikali kabla ya kupelekwa kwenye miradi

Sheria inataka mapato ya Serikali yapelekwe katika Mfuko Mkuu wa Serikali kabla ya kupelekwa kwenye miradi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Mapato ya Serikali huyatakiwi kupelekwa kwenye miradi kabla ya kuwasilishwa kwenye Mfuko Mkuu wa Mapato ya Serikali ili kuwa na taarifa sahihi za mapato na matumizi

Kutowasilisha mapato ya serikali ni kwenda kinyume na Ibara ya 135 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Vitendo wa kutowasilisha mapato huashiria udhaifu katika usimamizi wa sheria na kanuni za Uendeshaji wa Mfuko Mkuu wa Hazina ya Serikali
 
Back
Top Bottom