Sheria inayompa haki mwajiriwa kuomba uhamisho wa kituo cha kazi

Sheria inayompa haki mwajiriwa kuomba uhamisho wa kituo cha kazi

messiah

Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
47
Reaction score
15
Habari zenyu wapendwa, tafadhali naomba elimu juu ya sheria inayompa haki mwajiriwa kuomba uhamisho wa kituo cha kazi, hususan kwa sababu ya kufata familia yake, ama mume/mke wake...nikipata na vifungu itakuwa vizuri zaid........
 
Back
Top Bottom