M messiah Member Joined Oct 19, 2012 Posts 47 Reaction score 15 Dec 18, 2012 #1 Habari zenyu wapendwa, tafadhali naomba elimu juu ya sheria inayompa haki mwajiriwa kuomba uhamisho wa kituo cha kazi, hususan kwa sababu ya kufata familia yake, ama mume/mke wake...nikipata na vifungu itakuwa vizuri zaid........
Habari zenyu wapendwa, tafadhali naomba elimu juu ya sheria inayompa haki mwajiriwa kuomba uhamisho wa kituo cha kazi, hususan kwa sababu ya kufata familia yake, ama mume/mke wake...nikipata na vifungu itakuwa vizuri zaid........