Asante sana Nimeipata hiyo Act The Workers' Compensation ACT 2002. Baada ya kuisoma nimesikitika sana. Kipengele cha 7 kinasema ukipata ulemavu wa kudumu unapaswa kulipwa mishahara yako ya miezi 54 lakini kiasi hicho cha pesa kisizidi 108,000 na kisipungue shs. 2,000. Uliimanisha sheria hiyo ya ukandamizaji namna hiyo?