Sheria ya Watoto na Mikataba ya Kimataifa Kuhusu Watoto zinazuia vitendo vyote vya adhabu katili na zisizo za kawaida. Bila shaka hii inahusisha adhabu ya viboko. Sivyo? Kwa nini basi adhabu ya viboko bado iko kwenye shule?
Mwafrika ni mtu katili na wengi wa waafrika ni nusu shetani nusu mtu.
Mwafrika mara nyingi humchapa mtoto si kwa moyo wa upendo(kumrekebisha) bali ni kama kukomoa.