1. Ukienda TCRA watakusaidia kujua muamala ulipoishia na hatua kuchukiliwa ikibidiWanasheria Naomba msaada
Mimi ni raia nimefanya muamala kutoka kwenye line yangu ya Vodacom kwenda Bank leo ni siku ya 5 huo muamala haujafika kwenye account yangu
Nimepiga simu sana bank husika sijapata msaada Je hii kisheria imekaaje? Je naweza kuwashitaki haya makampuni?
Nenda makao makuu ya mkoa utaoneshwa ofisi zao zilipo au unaweza kucheki website yao kufahamu ofisi iliyokaribu naweKwa sisi wa mikoani TCRA ni mpaka kwenda Dar?
ulipiga simu katika mtandao wako wa simu na kuwaambia tatizo lako?na vipi uliangalia salio katika kauanti yako ya benki? na utawashtaki vipi benki endapo muamala hawajaupata muda mwingine ni suala la mitandao ya simu.Nakushauri nenda katika ofisi za mtandao wako wa simu na uthibitisho wa miamala uliyofanya kutoka kwenye simu kwenda benk pia usisahau kwenda na kadi ya benki au namba ya akaunti uliyohamishia pesa.Wanasheria Naomba msaada
Mimi ni raia nimefanya muamala kutoka kwenye line yangu ya Vodacom kwenda Bank leo ni siku ya 5 huo muamala haujafika kwenye account yangu
Nimepiga simu sana bank husika sijapata msaada Je hii kisheria imekaaje? Je naweza kuwashitaki haya makampuni?
Hawa vodacom wamekuwa na mapungufu mengi siku hizi, ukipigiwa ssimu akiomba pesa, muda mfupi baadaye inakuja meseji "...ile pesa tuma kwa namba hii xxxx yyy nnn, jina litakuja Zainabu Yohana"Kwa uzoefu wangu mdogo tatizo hapo linaweza kuwa Vodacom
Bado hawajakamilisha muamala kuingia kwenye acc ya bank
Voda customer service wamekuambiaje?
Yote haya nimefanya Voda wamelifanyia kazi pesa tayari imepokelewa bank tatizo bank ndo kuna shida pesa haionekani kwenye accountulipiga simu katika mtandao wako wa simu na kuwaambia tatizo lako?na vipi uliangalia salio katika kauanti yako ya benki? na utawashtaki vipi benki endapo muamala hawajaupata muda mwingine ni suala la mitandao ya simu.Nakushauri nenda katika ofisi za mtandao wako wa simu na uthibitisho wa miamala uliyofanya kutoka kwenye simu kwenda benk pia usisahau kwenda na kadi ya benki au namba ya akaunti uliyohamishia pesa.
Voda kwa hili hawana shida shida ipo bank na hata leo nimetoka kugombana nao kila siku wananiambia wanalishughulikiaHawa vodacom wamekuwa na mapungufu mengi siku hizi, ukipigiwa ssimu akiomba pesa, muda mfupi baadaye inakuja meseji "...ile pesa tuma kwa namba hii xxxx yyy nnn, jina litakuja Zainabu Yohana"
Nenda Tawi la bank husika dawati la mobile banking , achana na kusolve matatizo onlineYote haya nimefanya Voda wamelifanyia kazi pesa tayari imepokelewa bank tatizo bank ndo kuna shida pesa haionekani kwenye account
nenda kwenye Benki husika ulizia mrejesho wa tatizo wako,ikishindikana omba kuonana na Meneja uwasilishe tatizo lako ukiwa na kumbukumbu za kukamilika kwa hamisho la pesa katika akaunti yako ya BenkiYote haya nimefanya Voda wamelifanyia kazi pesa tayari imepokelewa bank tatizo bank ndo kuna shida pesa haionekani kwenye account
Kuna siku nilituma pesa alafu huko nilikotuma haijafika, baada kuwapigia watu wa mtandao wakasema pesa yangu bado iko hewani,nikaawambia "ole wenu Kunguru wapite nayo huko hewani mtanijua Mimi ni Nani", kesho yake ikarudishwa kwenye simu yangu!! Mitandao muda mwingine inakwamisha sana, alafu ndiyo kiela chako Cha ngama alafu eti kina bounce!!Yote haya nimefanya Voda wamelifanyia kazi pesa tayari imepokelewa bank tatizo bank ndo kuna shida pesa haionekani kwenye account
Wamenilostisha sana hawa bank basi tuKuna siku nilituma pesa alafu huko nilikotuma haijafika, baada kuwapigia watu wa mtandao wakasema pesa yangu bado iko hewani,nikaawambia "ole wenu Kunguru wapite nayo huko hewani mtanijua Mimi ni Nani", kesho yake ikarudishwa kwenye simu yangu!! Mitandao muda mwingine inakwamisha sana, alafu ndiyo kiela chako Cha ngama alafu eti kina bounce!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Unaweza kuwashtaki ila huwezi kuwashinda wakati hata hwa kampuni ya simu na bank hujaenda.Kesi za madai huanza na michakato ya kutatua despute armicably.Ikishundikana ndo unafile Suit.Wanasheria Naomba msaada
Mimi ni raia nimefanya muamala kutoka kwenye line yangu ya Vodacom kwenda Bank leo ni siku ya 5 huo muamala haujafika kwenye account yangu
Nimepiga simu sana bank husika sijapata msaada Je hii kisheria imekaaje? Je naweza kuwashitaki haya makampuni?
Nenda kwanza Kwa kampuni ya simu halafu benki husika.Nenda makao makuu ya mkoa utaoneshwa ofisi zao zilipo au unaweza kucheki website yao kufahamu ofisi iliyokaribu nawe