Sheria juu ya mzazi muonezi

Joined
Apr 10, 2021
Posts
7
Reaction score
1
Naomba kufahamu sheria juu ya baba muonezi (nimetukanwa na mzazi mbele ya familia na wadogo zangu kwamba mimi ni shoga na matusi kede kede mabaya yani ya aibu yaliyonidhalilisha kwenye familia, naomba wajuzi wa sheria wanipe ufumbuzi hapa.

NB: suala la uzazi lisihusishwe kwenye suala langu
 
Huenda kweli ukawa shoga, mzazi hawezi kusema uogo mbele ya mwanae. Badilika mkuu.
 
Msaada wakuu
 
Msaada wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…