Sheria / Kanuni za Kubeti

fofre

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2016
Posts
805
Reaction score
1,307
Habari zenu wadau wa jukwaa pendwa la Sports, naomba kujuzwa sheria za kubeti, nikimaanisha (namba moja inamaanisha nini, mbili na kuendelea.. na huwa zinatumika kwa aina gan ya Betting.
 
Tafuta thread ya wazee wenzagu wa kuweka mzigo utaelewa kila kitu unachokitaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…