Ukitaka Ubaya...
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 498
- 140
Wakuu habari zenu kwa ujumla? naomba kufahamishwa kuhusu Mbunge anapofanya kosa la jinai akiwa ndani ya Bunge {Mjengoni} je ataadhibiwa na kanuni za Bunge tu au kuna uwezekano wa kufunguliwa mashitaka Mahakamani?