Ndugu wana jf poleni na majukumu ya kila siku.
Mimi Igirimo naomba kuelimishwa. Ni kweli kuwa mkuu wa gereza ana mamlaka ya kumuachia mtu aliyehukumiwa kifungo fulani kwa vigezo atakapitia yeye au kumbadilishia adhabu ya kifungo cha nje badala ya ndani?
Au mkuu wa gereza au magereza ana mamlaka gani kwa wafungwa?