Sheria mpya ya BoT-2018 na wakopeshaji wa Bodaboda na Bajaj

Sheria mpya ya BoT-2018 na wakopeshaji wa Bodaboda na Bajaj

SOKO LA MAGARI

Senior Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
115
Reaction score
66
SHERIA MPYA YA BOT-2018 NA WAKOPESHAJI WA BODA BODA NA BAJAJ

Wakuu naomba msaada wenu kuelewa mahusiano yaliyopo kati ya hii sheria mpya ya BOT Kusimamia huduma ndogo ndogo za kifedha ya 2018 na hawa wadau wanaokopesha kwa mkataba kama vile Bajaj , Bodaboda na hata magari ya Uber

Je, hao wakopeshaji watapaswa kupata leseni ya BOT?

Kwa vyovyote vile ili wawe salama kisheria wanapaswa kuwa na vibali gani?

Je, mtu binafsi asie na biashara yeyote akifanya mkataba kwa wakili wa kumkopesha mtu mwingine bajaji au gari kwa kulipa pole pole atakuwa yuko salama kisheria ? au anapungukiwa kitu gani?

Tupo tayari kupata ushauri wa maandishi kitaalam na kuulipia consultation fee isiyozidi sh 30,000= kwa tasisi inayofahamika kisheria vizuri.
 
Back
Top Bottom