Sheria mpya ya penati kikwazo kwa makipa

Zipo sheria za mpigaji vilevile lakini mpigaji ndo anakua na presha kubwa ukimvuruga kidogo anatoka mchezoni kabisaa
Kwa hiyo kazi ya upande pinzani ni kumsaidia mpiga penati dhidi yao kuwafunga vizuri?
 
FIFA wanaleta upuuzi unaoelekea kuharibu ladha ya soka. Huo ni mwanzo wa kuanza kutunga sheria nyingi za hovyo.

Huko tuendapo watakuja kutwambia timu yoyote ili iweze kushirikia hatua fulani ya michuano inayotambuliwa na FIFA ni lazima timu hiyo iwe na angalau mchezaji mmoja Shoga/transgender. Kama haitakuwa naye basi timu hiyo itaondolewa kwenye mashindano hayo na nafasi yake kupewa timu nyingine itakayokuwa tayari kuwa na mchezaji wa aina hiyo kwenye kikosi chake.

Watawaka hadi sheria ya kuruhusu timu kuongeza mchezaji huyo ikitokea timu haikua na mchezaji wa aina hiyo mpaka ilipofikia hatua hiyo ya michuano.
 
Captain Marvelous umeona hii Mkuu?
 
Wapigaji wasiruhusiwe kutishia! Akitishia ihesabike kuwa keshapioga tayari na kukosa goli!! Au akitishia wachezaji waruhusiwe kumkaba!
Mbona ndo sheria hiyo mchezaji anapotoka kukimbia ili apige penat haruhusiwi kusimama au kutishia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…