Sheria na taratibu za kujenga nyumba mbili kwenye kiwanja kimoja

Mndundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Posts
233
Reaction score
34
Wakuu ninaomba kupewa maelezo kuhusu sheria na taratibu zinazo simamia suala la kujenga nyumba mbili katika kiwanja kimoja. Kwamfano mtu mwenye kiwanja cha mita 30 (30m) kwa mita 50 (50m), je ni sheria au taratibu gani zinatakiwa kufuatwa ili kuweza kujenga nyumba mbili au tatu katika kiwanja hicho? Siulizii kuhusu kujenga servant quarter bali nyumba mbili za kuishi familia mbili tofauti katika kiwanja kimoja. Kuhusu kutosha ka nyumba hizo tuchukulie kila nyumba ina upana wa mita 9 na urefu wa mita 13.
 
Mukuu fanya utafute ki2 kimoja kinaitwa Land Use Act,.kina sheria na taratbu zote utakazohtaj kuhusiana na haja yko.Mind you,.."ignorance of the law has no defence"!play safely
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…