ni Kosa kisheria, kifungu cha 179 , cha sura ya 16 ya sheria za jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kama zilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2002, inasema(S.179 of the Penal Code, cap 16. R.E. 2002, Provides, Any person who unlawfully or negligently does any act which is, and which he knows or has reason to believe to be likely to spread the infection of any disease dangerous to life, is guilty of a misdemeanour) ila ukisoma kipengele cha 6.6 cha sera ya ukimwi mwaka 2001, serikali iilikua na mkakati wa kurekebisha sheria ya kanuni za adhabu,http://www.tanzania.go.tz/pdf/serayaukimwi.pdf) ( ili kutia watu hatiani kwa kuambukiza ukimwi, makusudi, sina taarifa sahihi kama hili limeshafanyika kama limeshafanyika wenzangu watanisahihisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.