the guy anajitahidi sana, sidhani kama kila mtu anafanikiwa kwa kufuata fulani alivyofanya, kila binadamu ana instinct zake na uwezo fulani wa kufanya mambo kwa utofauti. Pia nadhani ingekuwa bora kumshauri hizo means nyingine kama unaona zitamsaidia. Huwa namuona sana pale southern sun hotel mida ya jioni unaweza muona pale au ukamshauri kwa social network.