Inamaana wabunifu nchi hii yupo mmoja tu..[emoji830]οΈ[emoji830]οΈ[emoji830]οΈ[emoji981]|π¦πππ₯ππ π‘ππ’πͺπ
[emoji860]βSifikirii Kufanya Kazi na Klabu Nyengine, Nimeamua Hilo Kwasababu Naheshimu Rizki Yangu Ndani ya Yanga.β
[emoji860]βTayari Jezi za Misimu Mitano Mbele za Yanga Nimeshamaliza Kuzibuni na Ninachosubiri Kwasasa ni Ruhusa Kwa Viongozi Nizitoe Muda Ukiwadia.β
Hata hivyo ...makolo mmesha fungiwa na FIFA [emoji23].View attachment 2822473
Tukiacha ushabiki jamaa ni mbunifu nje ya jezi ndo mshona suti za Pinda, Kikwete na mawaziri kadhaaInamaana wabunifu nchi hii yupo mmoja tu..
Duuh kweli??Tukiacha ushabiki jamaa ni mbunifu nje ya jezi ndo mshona suti za Pinda, Kikwete na mawaziri kadhaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Inamaana wabunifu nchi hii yupo mmoja tu..
Anaweza kuwa sahihi au asiwe sahihi inategemea yupo kwenye kona ipi
Sema hajapata timu nyingine yenye watu wenye akili akipata atafanya nao pia.
Nasema uongo wazee wa Mo EXTRA?
Huyu ndio alibuni jezi zenye matairi ubavuni?Tukiacha ushabiki jamaa ni mbunifu nje ya jezi ndo mshona suti za Pinda, Kikwete na mawaziri kadhaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Anajizibia riziki tu. Mbona akina Nike, Adidas na makampuni mengine yanadesign na kutengenezea timu mbalimbali jezi hata timu ambazo ni pinzani
Huyu ndio alibuni jezi zenye matairi ubavuni?
Nenda ukashikwe tako na Kono la MO
Jibu swali kaka sio kuleta mapicha
Sawa demu wanguNenda ukashikwe tako na Kono la MOView attachment 2822521