Sheria/Sera za Nchi Zinasemaje Kuhusu Kunena kwa Lugha?

Sheria/Sera za Nchi Zinasemaje Kuhusu Kunena kwa Lugha?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Wakuu

sio kwamba nimekosea jukwaa ila naona hili linahusika sana humu pia

mara nyingi sana kwa sisi watz utakua akiwepo mzungu mmoja au wawili au watatu lugha inabadilishwa tunaongea kiingereza (sio kizungu maana wazungu ni wengi wenye lugha zao)

Kwa bahati nzuri siku moja nilimsikia mshreheshaji mmoja akisema kwa sera za nchi ikiwa 70% waliohudhuria ni wazawa basi lugha ya wazawa (walio wengi itazungumzwa) ila hakunukuu sera yenyewe

Naommba mwenye ufafanuzi wa kina katika hili tusaidiane na tuwe makini na kugha yetu isidharaulike kwani ukienda kwa nchi za wenzetu China na kwingineko hata kama waswahi,li mko wengi wataongea Kichina etc
 
Unaelewa maana ya kunena kwa Lugha wewe Amavubi?
Bandiko lako na kichwa cha ujumbe havina ushirikiano!
 
Last edited by a moderator:
maudhui ma kichwa cha maudhui haviendani kabisa
 
Back
Top Bottom