Sheria TANESCO: Haya ndo wanayoyafanya!

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,131
Reaction score
937
Wadau sitaki kuwachosha sana kwenye hili, siku zote nimekuwa nikiamini kabisa kutoka na kuvurunda kwingi kwa Serikali yetu, labda na baadhi ya ofisi za umma zimekuwa zikiendeshwa wa watu ambao pengine upeo wao ki taaluma ni duni au ni wa kutia mashaka kama sio ule wa kupenda kurahisha mambo (business as usual ) hata kama ni nyeti na yenye kuhitaji umakini wa hali ya juu.
Hili limekuwa ni tatiso na pengine Serikali imejikuta ikiingia gharama kubwa kwa uzembe wa kutoangalia utendaji kwa watumishi wake kwani wengine wamekuwa akipewa dhaman kubwa ya ushuri na kuendesha majukumu mazito yenye mslahi ya taifa wakati huwezo wao ni mdogo kitaaluma.
Haya nimeyakuwata kwenye Mtandao wa Shirika Letu Nyeti la Ugavi wa UMEME (TANESCO) ambalo bado tunalia nalo kwa kushindwa kufanikisha mambo mengi
Hbarai hii ni kuhusu majukumu ya Kitengo/Idara nyeti ya Sheria ambyo kimsingi ndiyo muhimu kusaidia kushauri Shirika na Serikali kwa ujumlla kuhusu masuala yote ya kisheria ambayo TANESCO na wateja wake wanapaswa kuyaelewa kiundani na kwa ufasaha.

Mtazamo wangu umejikita zaidi kwenye hayo niliyoyabainisha kwa nyekundu "highlights". Ebu tusaidiane katika hili Jamani, mwenzenu inanisiklitisha na naumia sana kama hali ipo hivi ns watu bado wavuta mpunga tu kwa nafsi huko maofisini.

 
Mkuu,

Hapa naona lugha gongana. Kazi kweli kweli!!!! Huyo company secretary wa TANESCO ni nani? Kuna mtu ana CV yake hatuwekee hapa? Hii ni hatari.

Tiba
 
Mkuu,

Hapa naona lugha gongana. Kazi kweli kweli!!!! Huyo company secretary wa TANESCO ni nani? Kuna mtu ana CV yake hatuwekee hapa? Hii ni hatari.

Tiba

Binafsi sina ufahamu wa jina lake lakini sijuia kama hata CV yake itasaidia hapa. BUT kwa taaluma should be a lawyer!
 
Ngoshwe umekuwa too general na comments zako, naona ume-highlight zaidi kuliko kutoa maelezo ya sehemu ulizo-highlight! Tuchukulie mfano wa quotation hii hapa chini:

Hujatoa maelezo yoyote kuhusu hizo highlights (in red)!
 
Ngoshwe umekuwa too general na comments zako, naona ume-highlight zaidi kuliko kutoa maelezo ya sehemu ulizo-highlight! Tuchukulie mfano wa quotation hii hapa chini:

Hujatoa maelezo yoyote kuhusu hizo highlights (in red)!


Sorry kwa kushindwa kuweka uchambuzi katika kila Quote niliyofanya.Kwa ujumla kila mtu aweza kuwa na mtazamo wake lakini binafsi nimeona na kuamani kabisa kuwa aliyeandaa maelezo hayo ali "copy" na "ku paste" na hakuwa makini hata kwenye lugha na maneno yaliyotumika.

Kwa mfanno tu kwa hayo uliyoyabainisha, ukianza matatizo ya wazi ya kiandishi waweza ona kuwa wakati heading inahusu "Company Secretariat", ukisoma unaona yaliyoandikwa ni kama kujaribu kutaoa tafsiri ya neno "Company Secretariat" na kuendelae zaidi kwa kutaja muundo wa hiyo "Secretariat" ambapo kuna "Legal na Security divisions. Hata hivyo, katika "objectives" unakuta kunatajwa "Business Unit" na sio Legal wala "Company Secretariat" tena ......

Labda itasaidia zaidi kuboresha kama ukitembelea site husika http://www.tanesco.co.tz/index.php?option=com_content&view=article&id=75&Itemid=216
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…