Sheria y rushwa,mtoa na mpokea rushwa wote wana hatia

isidingo 1961

Senior Member
Joined
Nov 9, 2015
Posts
106
Reaction score
13
Nadhani in busara kwa PCCB Na POLISI wakatekeleza Sheria inavyotaka juu ya Mtoa rushwa na Mpokea Rushwa. Juzi Jeshi la Polisi lilitangaza kumkamata askari wake aliyepokea rushwa huko mkoani Tanga na kumfukuza Kazi Na pia kumkabidhi PCCB.

Tuliamini na yule aliyetoa rushwa kwa vile hakutoa taarifa ya kuombwa rushwa nae ana hatia ya kutoa rushwa hivyo alistahili kukamatwa na kushtakiwa ili iwe funzo kwa wengine wanaoombwa rushwa lakini hawatoi taarifa.
 
nadhan ina apply kama wewe mtoa ukiwa umekamatwa na mtu mwingine ndo anayetoa na anayepokea wote ni mna makosa lakin kama wewe mtoa ndio umereport inaonyesha ulikua unapingana na lile jambo!!
 
Back
Top Bottom