Nadhani in busara kwa PCCB Na POLISI wakatekeleza Sheria inavyotaka juu ya Mtoa rushwa na Mpokea Rushwa. Juzi Jeshi la Polisi lilitangaza kumkamata askari wake aliyepokea rushwa huko mkoani Tanga na kumfukuza Kazi Na pia kumkabidhi PCCB.
Tuliamini na yule aliyetoa rushwa kwa vile hakutoa taarifa ya kuombwa rushwa nae ana hatia ya kutoa rushwa hivyo alistahili kukamatwa na kushtakiwa ili iwe funzo kwa wengine wanaoombwa rushwa lakini hawatoi taarifa.