sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,325
- 2,491
Mke wangu ambaye ni mwalimu wa shule ya serikali ameshangaa kukuta kwenye risiti ya mshahara makato ya CWT CONTRIBUTION wakati hajawahi kuomba wala kujiunga na chama hicho. Kuna sheria ya kumwunganisha mtu kwenye chama bila kumshirikisha? Nadhani limewatokea na wengine. Afanyeje kama hayupo tayari?
Nawasilisha.
Nawasilisha.