CodeMaster
Member
- Sep 15, 2008
- 5
- 0
...Imekwenda wapi sheria ya ajira kwa wazawa,na sisi mbona tukienda kwao hatupati nafasi hii....Vipi hakuna watanzania wenye sifa hizi...
Jamani hii ishu ni serious sana, tena nakushukuru sana we uliye anzisha mada hii, yaani napofanya kazi mimi robo tatu ya wafanyakazi wote ni wakenya.wabongo ni macleaners na housekeepers kasoro wachache wetu ambao hatufiki hata kumi. yaani hadi ofisi assistant wanawatoa kenya, working permit za kumwaga wanapewa tu, i dont know whats wrong with us. nangoja tu mtu atakayekuwa serious na ufatiliaji wa hii ishu ani pm nimpe ishu lote.
Mimi nadhani kabla ya kuulaumu uongozi uliopo tuanze kujilaumu sisi wenyewe wapiga kura.Wengi wetu tumekuwa tukiwapa free ride hawa jamaa kwa kuwachagua na kuwaweka madarakani bila ya kujali matendo au maamuzi yao.
Ni wazi kabisa JK na serikali yake hawajali haya.Hawako serious kwenye rushwa,hawako serious kwenye utawala wa sheria,hawako serious kwenye maswala ya ajira,elimu,afya,kilimo na mambo mengine mengi tu.
Halafu cha kushangaza utasikia kuna mimtu bado inaandamana eti kusifia hotuba zake.Na sitashangaa bado kuna watu ambao ni masikini wa kutupwa wataendelea kuchagua viongozi wabovu! sasa hapa sijui tatizo ni education au macho ya kuona kuwa hali ni mbaya.
Wembe.
Wewe kama muhusika ndani ya ofisi nenda katoe taarifa uhamiaji, kuwa unahisi kuna mchezo mbaya unachezwa ndani ya ofisi yenu, uone kama hatua zitachukuliwa au vipi? Inabidi Wa-tz tubadilike na kuwa na courage ya kufanya mambo sio kubaki kulalamika tu.
Mimi nadhani kabla ya kuulaumu uongozi uliopo tuanze kujilaumu sisi wenyewe wapiga kura. Wengi wetu tumekuwa tukiwapa free ride hawa jamaa kwa kuwachagua na kuwaweka madarakani bila ya kujali matendo au maamuzi yao.