Sheria ya Ajira na uhusiano Wa Kazi ( 2004) irekebishwe. Makampuni ya nje yanawanyonya watanzania.

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
3,045
Reaction score
3,389
Wakuu habari,

Katika sheria ya kazi hapa nchini ( Employment and Labour Relaton Act) ya mwaka 2004 inabidi ifanyiwe amendment.

Sheria ile ni miaka 13 tangu itungwe. Sasa kuna viwango vya mishahara ilivyoweka kulingana na hali ya maisha ya kipindi kile, ni tofauti kabisa na hali ya maisha ya sasa.

Kwa mfano, sheria ile inahitaji wafanyakazi wa kwenye makampuni ya simu walipwe minimum salary ya 400,000 basic.

Sasa makampuni kama ISON BPO ambayo ina operate call center ya Vodacom, EROLINK LTD na makampuni mengine yanayo operate kwenye call center za kampuni mbalimbali za simu nchini, huilipa hiyo hiyo basic salary ya 400,000. Hapo ukikatwa makato yote inabaki karibu 330,000.

Kwa maisha haya ya sasa, mtu una family af unalipwa laki tatu na 30, haitoshi kabisa.

Serikali iangalie utaratibu wa kufanya amendment kwa ajili ya kuwasajdia wananchi wake

I stand to be corrected.. Me siyo mwanasheria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu, ni wapi sheria hiyo imeeleza wazi yaani exppresly juu ya kiwango cha mshahara mtu anachopaswa lipwa? kifungu kipi?
 
Back
Top Bottom