Nimepata mkanganyiko kidogo na hii sheria hasa kipengele kwamba wafanyakazi wa mikataba hawahusiki na hii sheria yaani wale wenye mikataba say miaka miwili nk ila zaidi inawahusu wale wafanyakazi wenye mikataba mirefu (Pensionable)
aliyechimbua zaidi hii sheria