Madereva wa treni wa treni wanatumia vibaya kinga ya kutogonga kwa kuwagonga magari, pikipiki, baskeli na waenda kwa miguu kwa kuwa wana kinga na hivyo kusababisha kupoteza nguvu kazi ya Taifa. Ninashauri treni inapogonga trafiki wapime kama wana makosa nao wafikishwe mikononi mwa sheria.