Kuna mtu anakua interviewed TBC anasema mchakato wa kupata sheria mpya ya haki miliki kwa ajili ya kulinda maslahi ya wasanii imefikia sehemu nzuri sana, jamaa anadai mapendekezo ya wasanii ni kwamba si tu muuzaji wa kazi feki ila hata yule aliyenunua kazi feki nae atiwe hatiani.
my take:
Kama sheria itakua hivyo kweli basi wengi watafungwa, si kwa sababu watu wanapenda kununua kazi feki ila kwa sababu wengi hawawezi kutofautisha feki na hizo wanazoziita original
my take:
Kama sheria itakua hivyo kweli basi wengi watafungwa, si kwa sababu watu wanapenda kununua kazi feki ila kwa sababu wengi hawawezi kutofautisha feki na hizo wanazoziita original