wakizinduka hapo ni ama wagonge meza au waunge mkono hoja wasiyoijua
sio lazima kuhudhuria vikao kama hauwezi kuwakilisha waliokutuma. inawezekana sheria ya kinyonyaji ya kuhusu mafao ya wafanyakazi ilipita kwa style hii...!!
kwenye mechi iliyotangazwa jana napendekeza pia mashindano ya nani bingwawaa kuuchapa usingizi pia utaratibu huu pia uanzishwe