Sheria ya hifadhi ya mazingira ya ukanda ziwa wa mita 60 za ziwa inasemaje?

Sheria ya hifadhi ya mazingira ya ukanda ziwa wa mita 60 za ziwa inasemaje?

Omulangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2008
Posts
1,036
Reaction score
267
Naomba kujua ile sheria ya kutunza mazingira ya ziwa kama Victoria ambayo zamani tulijua inasema ni meta 30 na siku hizi baadhi ya mamlaka zinasema ni meta 60 inasemaje? Hizi meta 60 au 30 ni kwa ajili ya water related activities kama kuweka kambi za wavuvi na ku park vyombo vya majini au ni kwa ajili ya utunzaji wa mazingira dhidi ya uharibifu unaotokana na man related activities. Namba kuelimishwa inamaanisha nini, ni sheria no ngapi, naweza kuipata vipi.
 
Nenda kasome sheria na20 ya 2003 The Fisheries act pamoja na kanuni zake Fisheries Regulations 2005 ni mita sitini (60m) kutoka usawa wa juu wa maji( highest water mark line)
 
Sheriä ya Usimamizi wa Mazingira No. 20 ya mwaka 2004 (vifungu vya 57 na 232 vinahusika) ........ sheria hii ndio hasa inahusika na masuala ya uhifadhi wa mazingira. na inataka kuwepo na Mita 60 kutoka kwa chanzo cha maji na shughuli za binadamü. na alichokisema Mhe. hapo abt Regulations ni sawa kbs naofcoz zinampa MAMLAKA Waziri husika kuongeza zaidi ya 60 km itafaa.
 
Ahsante wakulu mashikolomageni na hyphm
 
Back
Top Bottom