sulle23 JF-Expert Member Joined Apr 1, 2014 Posts 230 Reaction score 14 Aug 15, 2018 #1 Mtoto wa chini ya miaka 18 ana jela yake maalum,je huyo mtoto akihukumiwa jela labda miaka 10 na kabla hajamaliza kifungo chake akatimiza miaka 18 ya utu uzima,ataendelea na adhabu yake?naomba ufafanuzi wa kisheria tafadhali.
Mtoto wa chini ya miaka 18 ana jela yake maalum,je huyo mtoto akihukumiwa jela labda miaka 10 na kabla hajamaliza kifungo chake akatimiza miaka 18 ya utu uzima,ataendelea na adhabu yake?naomba ufafanuzi wa kisheria tafadhali.
M MASEETO JF-Expert Member Joined Dec 7, 2013 Posts 261 Reaction score 86 Aug 16, 2018 #2 Sheria inaangalia wakati huyo mtoto anatenda kosa alikuwa ana umri gani. Tafuta maamuzi ya kesi ndogo ya LULU
Sheria inaangalia wakati huyo mtoto anatenda kosa alikuwa ana umri gani. Tafuta maamuzi ya kesi ndogo ya LULU