Sheria ya kazi inasemaje kuhusu mtumishi kusitisha utumishi wake kwa hiari.

Sheria ya kazi inasemaje kuhusu mtumishi kusitisha utumishi wake kwa hiari.

Mhojan

Member
Joined
Dec 28, 2018
Posts
8
Reaction score
2
Habari wana JF, napenda kufahamu ni athari gani zitampata mtumishi wa umma kuacha kazi hata kabla ya kudhibishwa kazini?. Mimi ni mwajiriwa mpya na kwa bahati nzuri au mbaya nimeitwa kufanya kazi katika shirika lisilo la kiserikali na watanilipata mshahara mara dufu zaidi ya ninopata huku TAMISEMI. Nimefikiria kuacha tatizo linakuja sifahamu vizuri masuala ya kisheria.Naomba mawazoyenu.
Asante kwa kutenga muda wako na kusoma hoja yangu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom