Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika Sheria ya ukimwi kuna kosa la kumwambukiza mtu ukimwi kwa makusudi.Kuna wanao fikiri kuwa kubaka ni kubaka tu hata kama aliyebaka kamuabukiza virusi aliyembaka, lakini pale mtu anapo ambukiza virusi huwa na makosa mawili. Kubaka na kuambukiza virusi vya UKIMWI kwa makusudi. wewe unafkiri nini?