Kireka1980
JF-Expert Member
- Mar 18, 2008
- 302
- 44
At all times maintain a two-second gap from the vehicle ahead, no matter what speed you are travelling. When it is raining, a foggy night, or any combination of these, the gap should be doubled to four seconds.
wadau kuna siku nilikuwa kwenye gari ndogo barabara ya Shekilango, kuna dala dala lilikuwa mbele yetu (Ubungo - msasani) Ghafla lilisimama katikati ya barabara na brake light hazifanyi kazi, ujanja hatukuwa nao tukaligonga kwa nyuma na sisi ndio tulioonekana na kosa. Hii ilinifanya kila mara niseme Ditopile alikuwa sahihi kumpiga risasi dereva wa daladala.
Wadau madereva wa daladala wanakera sana na ukiwa na hasira ..........
Ukigonga gari kwa nyuma hilo ni kosa lako, hata kama daladala lile lilisamama ghafla. Gari la mbele yako linaweza kusimama ghafla kwa sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuharibika ghafla, na hiyo haikuruhusu wewe kuligonga.
Mojawapo katika mambo uliyotakiwa kuwa umejifunza kabla ya kupewa leseni ya kuendesha gari ni mbinu za defensive driving. Mojawapo ya mbinu hizo ni kuhakikisha kuwa unaacha umbali wa kutosha kati yako na gari la mbele yako kiasi kuwa uweze kusimama bili kuligonga iwapo litapata breakdowan yoyote ya ghafla
wadau kuna siku nilikuwa kwenye gari ndogo barabara ya Shekilango, kuna dala dala lilikuwa mbele yetu (Ubungo - msasani) Ghafla lilisimama katikati ya barabara na brake light hazifanyi kazi, ujanja hatukuwa nao tukaligonga kwa nyuma na sisi ndio tulioonekana na kosa. Hii ilinifanya kila mara niseme Ditopile alikuwa sahihi kumpiga risasi dereva wa daladala.
Wadau madereva wa daladala wanakera sana na ukiwa na hasira ..........
Chuo chochote cha driving mkuu au hata usalama barabaraniWakuu...
Naweza wapi kupata "SHERIA ZA USALAMA WA BARABARANI"?
Wakuu...
Naweza wapi kupata "SHERIA ZA USALAMA WA BARABARANI"?
siku zote kugonga nyuma ni makosa.wadau kuna siku nilikuwa kwenye gari ndogo barabara ya shekilango, kuna dala dala lilikuwa mbele yetu (ubungo - msasani) ghafla lilisimama katikati ya barabara na brake light hazifanyi kazi, ujanja hatukuwa nao tukaligonga kwa nyuma na sisi ndio tulioonekana na kosa. Hii ilinifanya kila mara niseme ditopile alikuwa sahihi kumpiga risasi dereva wa daladala.
Wadau madereva wa daladala wanakera sana na ukiwa na hasira ..........
Kugonga nyuma ya gari la mwenzako.Kwa kuongezea katika defensive driving, unatakiwa wakati wote una angalia mwenendo wa gari lililo mbele yako kwani hilo ndiyo litakalo kufanya wewe ujue uendesheje gari lako.
Kwa kusisitiza, kitendo cha kuingia kwa nyuma ni makosa.
Fafanua hapo....!Kwa kuongezea katika defensive driving, unatakiwa wakati wote una angalia mwenendo wa gari lililo mbele yako kwani hilo ndiyo litakalo kufanya wewe ujue uendesheje gari lako.
Kwa kusisitiza, kitendo cha kuingia kwa nyuma ni makosa.
Fafanua hapo....!
Kwa kuongezea katika defensive driving, unatakiwa wakati wote una angalia mwenendo wa gari lililo mbele yako kwani hilo ndiyo litakalo kufanya wewe ujue uendesheje gari lako.
Kwa kusisitiza, kitendo cha kuingia kwa nyuma ni makosa.