Muyobhyo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 8,149
- 6,547
Kuna mwaka 1 sikumbuki mwaka gani, wabunge wetu mjengoni walisisitiza sheria ya kukonyeza ipitishwe na ukimkonyeza mtu yoyote hasa mwanamke basi wewe ni miaka mitano jela, nadhani wadau mtaikumbuka hii ikaleta mzozo sana bungeni, ilikuwa mwaka gani anayekumbuka.