Mimi ni single mother na nina mtoto mwenye umri wa miaka 13 na ninataka kumchukua mwanangu niishi nae Uingereza ambapo nimepata ajira.
Mzazi mwenzangu alikataa ujauzito nilipomwambia,Na tangu mwaka 98 hatujawi kumwona.Hatukuwahi kufunga nae ndoa wala kuishi nae.
Naomba kujua kama kuna sheria Tanzania itakayonikataza kumchukua mwanangu.Jina la mzazi mwenzangu iliwekwa kwenye cheti cha kuzaliwa.
Natanguliza shughurani kwa msaada wenu wana JF.