Kama wewe ndiye custodial parent wa mtoto, na kwa mujibu wa maelezo yako baba mtoto hayupo kwenye maisha yenu, hakuna cha kukuzuia hapo.
Mimi ndo custodial, unaelewa bongo hatuitaji ushaidi mwingi kuthibithisha, but ubalozini wanaitaji documents to prove that .Ndo maana nikaomba kujua kama kuna sheria yoyote that can advise me more?, or what docs should I supply to prove I am the only one who has full custody
Hapa ninanusa harufu ya Baba wa mtoto kukimbiwa, through my experince mademu wa kibongo wakipata access za kazi mtoni basi mambo huwa shaghala bagara.
Ok nenda kwa Lawyer au polisi wakusainie document(utakazo tengeneza au kama wanazo) kuwa ni kweli wewe ndie mzazi pekee wa mtoto etc
Najua kuna mchi ambazo wana lawyers ambao ni commissioners for oaths na unachosema na wakasaini unakuwa umeapa. Au nenda kortini wakupe doc inayosema wewe ni pekee mzazi mlezi wa mwanao. Kama una risiti za shule malipo kwenye jina lako etc matibabu hosp etc unaweza ongeza ila la kuapa ni muhimu kama umeombwa yaani kuwa na watu wa sheria.
Good luck
Documents to prove what? That you are the custodial parent? If the issue was never adjudicated in the court of law there will be no evidence.
Wewe si ni mama yake? Kama wewe ni mama yake basi jina lako litakuwepo kwenye cheti chake cha kuzaliwa. Zaidi ya hapo labda vyeti vya kliniki kama unavyo. Wakati anaanza shule nani alienda kumwandikisha? Kama wewe ndo ulienda hakuna karatasi yoyote uliyopewa ambayo ina jina na sahihi yako na kuonyesha kwamba huyo ni mwanao?
Kwa ujumla sioni ishu yoyote hapo ya kukuzuia. Ambaye atabisha kuwa mwana si wako na atoe ushahidi kuwa si wako.
Pole sana kwa kuzaa na non responsible Father, ni ukichaa hata kama huna pesa kumkimbia mwanamke uliyempa ujauzito, lakini inashangaza hata ndugu zake huwafahamu?Kwa taarifa yako, yeye ndo aliyetukimbia, nilipomwambia nina ujauzito alipotea na sijawahi kumwona huu mwaka wa kumi na mbili, he is the looser not us pole
Mimi ni single mother na nina mtoto mwenye umri wa miaka 13 na ninataka kumchukua mwanangu niishi nae Uingereza ambapo nimepata ajira.
Mzazi mwenzangu alikataa ujauzito nilipomwambia,Na tangu mwaka 98 hatujawi kumwona.Hatukuwahi kufunga nae ndoa wala kuishi nae.
Naomba kujua kama kuna sheria Tanzania itakayonikataza kumchukua mwanangu.Jina la mzazi mwenzangu iliwekwa kwenye cheti cha kuzaliwa.
Natanguliza shughurani kwa msaada wenu wana JF.
kaka hizo vyeti vya kuzaliwa haitoshi. licha ya hivyo mazaga zaga mengine anatakiwa atoe commitment ambayo kama atakuja mto yoyote na madai yoyote yale juu ya kusafiri kwa huyo mtoto , madai yasiwabebeshe lawama ubaozi. na hiyo ni AFFIDAVIT tuDocuments to prove what? That you are the custodial parent? If the issue was never adjudicated in the court of law there will be no evidence.
Wewe si ni mama yake? Kama wewe ni mama yake basi jina lako litakuwepo kwenye cheti chake cha kuzaliwa. Zaidi ya hapo labda vyeti vya kliniki kama unavyo. Wakati anaanza shule nani alienda kumwandikisha? Kama wewe ndo ulienda hakuna karatasi yoyote uliyopewa ambayo ina jina na sahihi yako na kuonyesha kwamba huyo ni mwanao?
Kwa ujumla sioni ishu yoyote hapo ya kukuzuia. Ambaye atabisha kuwa mwana si wako na atoe ushahidi kuwa si wako.
Mtoto tayari ana passport?Mimi ni single mother na nina mtoto mwenye umri wa miaka 13 na ninataka kumchukua mwanangu niishi nae Uingereza ambapo nimepata ajira.
Mzazi mwenzangu alikataa ujauzito nilipomwambia,Na tangu mwaka 98 hatujawi kumwona.Hatukuwahi kufunga nae ndoa wala kuishi nae.
Naomba kujua kama kuna sheria Tanzania itakayonikataza kumchukua mwanangu.Jina la mzazi mwenzangu iliwekwa kwenye cheti cha kuzaliwa.
Natanguliza shughurani kwa msaada wenu wana JF.
Pole sana kwa kuzaa na non responsible Father, ni ukichaa hata kama huna pesa kumkimbia mwanamke uliyempa ujauzito, lakini inashangaza hata ndugu zake huwafahamu?
Naona mtoto hajatendewa haki kabisa, ni bora amjuwe baba yake hata kama hana msaada kwake. hapa nadhani kuna tatizo lenu wazazi.
ikiwa wewe ndiyo unaeishi na mtoto na Baba hajawai kufanya chochote zaidi ya kusababisha mimba, unatakiwa tu kutoa maelezo hayo unapoomba visa. cha muhimu ni kutumia mwanasheria unapojaza hizo form kwani mwanasheria atakuwa anajua maneno ya kuandika- waweza ujue unachotaka kusema , lakini namna ya kusema kikaleta maana inaweza kuwa ngumu ( hapa usifanye mchezo, atakae soma maelezo yako atayatafsiri vile ya livyo na siyo vinginevyo), nakushauri hayo maelezo ukijaza, ambatanisha na kiapo cha sheria (affidavit), ambacho kinaonyesha kuwa hilo unalosema juu ya huyo mtoto na mzazi mwenzio ni kweli tupu. hicho kiapo waweza pata mahakamani au kwa wakili yoyote.
Mtoto tayari ana passport?
Pole sana kwa kuzaa na non responsible Father, ni ukichaa hata kama huna pesa kumkimbia mwanamke uliyempa ujauzito, lakini inashangaza hata ndugu zake huwafahamu?
Naona mtoto hajatendewa haki kabisa, ni bora amjuwe baba yake hata kama hana msaada kwake. hapa nadhani kuna tatizo lenu wazazi.
Mara nyingi nimeona hili likifanyika hivyo...kuwashirikisha ndugu wa 'baba'...yaani hata kama 'baba' amekataa lakini kama mwanamke anao uhakika juu ya 'baba wa mtoto' na anawajua ndugu zake basi kwa namna moja ama nyingine atajitahidi mtoto ajue nasaba yake.kama yeye mwenyewe alikimbia responsiblitiy, did u expect me to take my child kumnadi kwa familia yake? Nimejaliwa kwenda shule kidogo and so I choose to keep my baby and work hard to maintain him and to prove to fathers that women can also survive without you.Kama hakuweza kusimama kama mwanaume, sidhani anastahili kuitwa baba.