Shakil Bhanji
Member
- Jan 30, 2017
- 30
- 7
Samahani mkuu ni sheria gan/ipi inayoelekeza kuwa notisi ya miezi 3 (siku 90) ???? Knowledge is shared!Lazima akupe notice ya miezi mitatu mkuu
Siku hizi ni mwezi mmoja tu na sio miezi 3!!yaani kabla ya mkataba wako wa awali kumalizika inatakiwa akupe taarifa si chini ya siku 30.Lazima akupe notice ya miezi mitatu mkuu
Kwa mjibu wa sheria gan mkuu!! Nataka niijue coz cko aware na hyo provision!Siku hizi ni mwezi mmoja tu na sio miezi 3!!yaani kabla ya mkataba wako wa awali kumalizika inatakiwa akupe taarifa si chini ya siku 30.
Mimi sio mwanasheria mkuu ila kifungu hiki kilisha wahi nisaidia sana. Ni sheria ya ardhi ya mwaka 1999, namba 4. S. 104(c)kama kumbukumbu zangu ziko sawa.Kwa mjibu wa sheria gan mkuu!! Nataka niijue coz cko aware na hyo provision!
[emoji106][emoji106][emoji106]Mimi sio mwanasheria mkuu ila kifungu hiki kilisha wahi nisaidia sana. Ni sheria ya ardhi ya mwaka 1999, namba 4. S. 104(c)kama kumbukumbu zangu ziko sawa.
Nilimbana mwenye nyumba hadi nikaonekana mimi ndio mwenye nyumba naye akawa ndio mpangaji!! Tokea hapo akaniheshimu na hata notice ikafia hapo hapo hadi nilipo hamia kwangu na ndio nikawa mshauri wake wa sheria!! U bush lawyer ulinisaidia sana. Kila raheli mkuu! Wenye fani yao watakuja lazima tuheshimu fani za watu bwana.
Bt s. 104 haitumiki kwny kesi ya huyu maana yy hadaiwi arrears (malimbikizo ya kodi) so asije tumia hcho kifungu. May be the facts are different from yours!. To win Lawsuit is about facts and supportive evidenceMimi sio mwanasheria mkuu ila kifungu hiki kilisha wahi nisaidia sana. Ni sheria ya ardhi ya mwaka 1999, namba 4. S. 104(c)kama kumbukumbu zangu ziko sawa.
Nilimbana mwenye nyumba hadi nikaonekana mimi ndio mwenye nyumba naye akawa ndio mpangaji!! Tokea hapo akaniheshimu na hata notice ikafia hapo hapo hadi nilipo hamia kwangu na ndio nikawa mshauri wake wa sheria!! U bush lawyer ulinisaidia sana. Kila raheli mkuu! Wenye fani yao watakuja lazima tuheshimu fani za watu bwana.
Ndii maana mimi nilisema kuwa sio mwanasheria. Ila labda atafute kwenye sheria hiyo vifungubvinavyohusiana na suala lake ila ninachojua mimi kwa sheria ya siku hizi hata kama ni kodi kupandisha si chini ya mwezi mmoja notice itolewe! Ndio maana nikasema acha wenye fani zao waje kusaidiaBt s. 104 haitumiki kwny kesi ya huyu maana yy hadaiwi arrears (malimbikizo ya kodi) so asije tumia hcho kifungu. May be the facts are different from yours!. To win Lawsuit is about facts and supportive evidence
Mimi sio mwanasheria mkuu ila kifungu hiki kilisha wahi nisaidia sana. Ni sheria ya ardhi ya mwaka 1999, namba 4. S. 104(c)kama kumbukumbu zangu ziko sawa.
Nilimbana mwenye nyumba hadi nikaonekana mimi ndio mwenye nyumba naye akawa ndio mpangaji!! Tokea hapo akaniheshimu na hata notice ikafia hapo hapo hadi nilipo hamia kwangu na ndio nikawa mshauri wake wa sheria!! U bush lawyer ulinisaidia sana. Kila raheli mkuu! Wenye fani yao watakuja lazima tuheshimu fani za watu bwana.
Kwani alinivuluga kweli na unajua wazee wa kihaya walivyo watata!! Mkataba umebakiza siku moja ananiambia sipokei pesa yako kuna mtu amekuzidi dau!! Ilikuwa balaaa!! Kwani ndio ilikuwa tabia yake kwa wapangaji wengine yeye akija mtu ni mhaya mwenzake lazima atafutwe mnyonge aondolewe tena bila taarifa anasubili siku ya ku re new mkataba anakwambia sitaki pesa yako nataka nyumba yangu!! Alitukana sana akampiga kibao wife!! Ndani nilimtia badaye nikamsamehe tukaendelea kuyajenga ila alikuwa anaiogopa sana natoka ila badaye tukawa marafiki, na ushauri mdogo mdogo wa juu ya haki zake na wapangaji nikawa nampa!! Hadi mhaya awe mpole si mchezo.Mzee ukaishi kwa raha mustarehe nyumba ya mtu , kama wewe ndio mwenye nyumba ... daaah...
Kwani alinivuluga kweli na unajua wazee wa kihaya walivyo watata!! Mkataba umebakiza siku moja ananiambia sipokei pesa yako kuna mtu amekuzidi dau!! Ilikuwa balaaa!! Kwani ndio ilikuwa tabia yake kwa wapangaji wengine yeye akija mtu ni mhaya mwenzake lazima atafutwe mnyonge aondolewe tena bila taarifa anasubili siku ya ku re new mkataba anakwambia sitaki pesa yako nataka nyumba yangu!! Alitukana sana akampiga kibao wife!! Ndani nilimtia badaye nikamsamehe tukaendelea kuyajenga ila alikuwa anaiogopa sana natoka ila badaye tukawa marafiki, na ushauri mdogo mdogo wa juu ya haki zake na wapangaji nikawa nampa!! Hadi mhaya awe mpole si mchezo.