SHERIA YA KURUDISHA SHAMBA LILILOUZWA

SHERIA YA KURUDISHA SHAMBA LILILOUZWA

Rashid ntafai

Member
Joined
Jul 10, 2017
Posts
40
Reaction score
4
Naombeni msaada kama kunauwezekano wa kurudisha Shamba lililouzwa.je kuna sheria itakayoniwezesha kurudisha shamba?
 
sasa kama uliliuza na mwenzako keshaliendeleza?
ni lazima umrudishie kama atataka.
la sivyo ni mauzo halali umefanya
 
Acha uvivu,weka maelezo ya kutosha watu wakupe ushauri,
 
Back
Top Bottom