Toleo hili la Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sheria Namba 8 ya mwaka 2011 limezingatia na kuweka pamoja mabadiliko yote yaliyofanywa katika Sheria hii tangu ilipotungwa mwaka 2011 hadi tarehe 28 Februari, 2012 na limechapishwa kwa mujibu wa kifungu cha 4 cha Sheria ya Urekebu Sheria Sura ya 4.
Dar es Salaam,
FREDERICK M. WEREMA
Mwanasheria Mkuu wa Serikali
28 Februari, 2012
Habari zaidi soma kiambatanisho