Sheria ya Mabadiliko ya Masuala ya vyama vya siasa ya mwaka 2024

Sheria ya Mabadiliko ya Masuala ya vyama vya siasa ya mwaka 2024

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Hii ni Sheria ya Mabadiliko ya Masuala mbalimbali yanayohusu Vyama vya Siasa ya Mwaka 2024.

Vipengele vilivyoorodheshwa katika Sehemu mbalimbali za Sheria hii vinabadilishwa kama ilivyoorodheshwa katika Sehemu zao husika.

Mabadiliko haya yanalenga kurekebisha sheria zinazotawala masuala ya vyama vya siasa.
 

Attachments

Back
Top Bottom