neyl Senior Member Joined Nov 23, 2011 Posts 127 Reaction score 19 May 9, 2012 #1 habari wapendwa, nina swali naomba msaada natafuta sheria ya mahakama ya mahakimu eti naweza nikazipata wapi maana kwenye mtandao wa bunge sijaona
habari wapendwa, nina swali naomba msaada natafuta sheria ya mahakama ya mahakimu eti naweza nikazipata wapi maana kwenye mtandao wa bunge sijaona
Ngambo Ngali JF-Expert Member Joined Apr 17, 2009 Posts 3,517 Reaction score 1,363 May 9, 2012 #2 neyl said: habari wapendwa, nina swali naomba msaada natafuta sheria ya mahakama ya mahakimu eti naweza nikazipata wapi maana kwenye mtandao wa bunge sijaona Click to expand... Nenda duka la vitabu vya serikali ulizia " the Magistrates Courts Act CAP 11 RE 2002. duka lipo manispaa ya ilala, mkoa wa Dar es salaam, mtaa wa jamhuri, opposite parking ya Benjamin Mkapa Tower.
neyl said: habari wapendwa, nina swali naomba msaada natafuta sheria ya mahakama ya mahakimu eti naweza nikazipata wapi maana kwenye mtandao wa bunge sijaona Click to expand... Nenda duka la vitabu vya serikali ulizia " the Magistrates Courts Act CAP 11 RE 2002. duka lipo manispaa ya ilala, mkoa wa Dar es salaam, mtaa wa jamhuri, opposite parking ya Benjamin Mkapa Tower.
M MNUSO New Member Joined Feb 29, 2012 Posts 3 Reaction score 0 May 9, 2012 #3 neyl said: habari wapendwa, nina swali naomba msaada natafuta sheria ya mahakama ya mahakimu eti naweza nikazipata wapi maana kwenye mtandao wa bunge sijaona Click to expand... Jaribu pia hapa http://www.lrct.go.tz/acts
neyl said: habari wapendwa, nina swali naomba msaada natafuta sheria ya mahakama ya mahakimu eti naweza nikazipata wapi maana kwenye mtandao wa bunge sijaona Click to expand... Jaribu pia hapa http://www.lrct.go.tz/acts