jamii ya kitanzania inatakiwakuelemishwa jinsi sheria zetu baadhi zinavyokinzana zenyewe, mfano katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania inampa mtanzania HAKI YA KUISHI ,ukirudi kwenye SHERIA YA MAKOSA YA JINAI kuna adhabu HUKUMU YA KIFO ilohalalishwa na kupoteza mana ya haki ya kuishi