Wambugani
JF-Expert Member
- Dec 8, 2007
- 1,757
- 277
Ukiachilia mbali Sheria ya Mirathi ya Kiislamu, katika Tanzania Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania, Sheria ya Mirathi ya Kimila hutumika pale ambapo marehemu aliishi kwa kufuata mila na desturi za kabila lake..
Na kwa mujibu wa Tangazo la Serikali Na. 436 ya 1963, makabila yaliorodheshwa ni makabila ya kibantu ambayo
hurithisha watoto wa kiume na wa kike.
Katika miaka hiyo zaidi 50 inavyoonekana hakuna sheria ambayo ni 'consistent' kwa makabila yote. Kwa mfano, sheria hiyo haiwezi kutumika makabila kama Wamasai, Wadatoga au Wairaqw. Je, kuna mtu anayefahamu sheria ambayo ni coded au precedent ya mirathi inayohusu makabila hayo.
Msaada unahitajika.