sheria ya mirathi ya kimila na uteuzi wa msimamizi

kahigwa

Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
33
Reaction score
14
naomba kujua iwapo msimamizi kagawa mali za marehemu kwa upendeleo kwa baadhi ya watoto wa marehemu, ni vifungu gani vya sheria vinaweza kumbana ili atumia haki na usawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…