andrew kisanga
Member
- Apr 27, 2013
- 53
- 23
my friend, umefika mahali penyewe, sheria hizo zote za mirathi kwa dini, kimila na kiserikali zimewekwa kwenye kitabu kimoja kinaitwa SHERIA KWA KISWAHILI, utakipata kitabu hiki pale TPH bookshop dsm, sijui wewe uko wapi, tembelea blog hii bofya hapa SHERIA KWA KISWAHILI utapata kitabu hicho. mle ndani kuna sheria zote hizo zimeandikwa kwa kiswahili, sheria za mirathi, sheria za wosia, sheria ya ndoa tz, sheria ya watoto na baadhi ya jinai.wadau naombeni mnisaidei kupata hii sheria ya mirathi maana kuna vitu vinanichanga sana..!
i) ya dini
ii)ya nchi,
na
iii)kikabila je zote hizi zinasemaje na mwongozo ukoje ikiwa baba hajandika mirathi kwa watoto..!
my friend, umefika mahali penyewe, sheria hizo zote za mirathi kwa dini, kimila na kiserikali zimewekwa kwenye kitabu kimoja kinaitwa SHERIA KWA KISWAHILI, utakipata kitabu hiki pale TPH bookshop dsm, sijui wewe uko wapi, tembelea blog hii bofya hapa SHERIA KWA KISWAHILI utapata kitabu hicho. mle ndani kuna sheria zote hizo zimeandikwa kwa kiswahili, sheria za mirathi, sheria za wosia, sheria ya ndoa tz, sheria ya watoto na baadhi ya jinai.
SHERIA KWA KISWAHILI
View attachment 115524
View attachment 115525View attachment 115525
pata nakala ya kitabu hicho, you will not regret.Wakuu.
Ikiwa katika ndoa hakuna mtoto aliyepatikana je mmoja akifariki mirathi itakuweje?